MKUTANO WA MWAKA WA BARAZA LA MAWAZIRI NA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA ESAAMLG WAFUNGULIWA KIGALI-RWANDA.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera (Mb) (kushoto) na Naibu Gavana ...