Mbunge wa Kilindi Salehe Mhando ameihoji Serikali bungeni Dodoma Septemba 4, 2026 kwamba ina mkakati gani wa kujenga Ofisi ya Madini Wilayani Kilindi. WAZIRI WA MADINI ANTHONY MAVUNDE AMEJIBU KAMA IFUATAVYO; Mheshimiwa Spika, Napenda kukutaarifu kwamba, Wizara ya Madini ina jumla ya Ofisi 30 zilizopo katika Mikoa ya Kimadini Tanzania Bara. Wizara itaendelea kuongeza Ofisi katika maeneo mengine pindi itakapojiridhisha eneo husika kumeongezeka shughuli za kimadini kwa kiasi kikubwa na hakuna Ofisi ya Madini iliyo karibu ambayo inaweza kutoa huduma katika eneo hilo. Kwa sasa, Wilaya ya Kilindi inahudumiwa na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Tanga.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Your Ad Spot
Sep 4, 2026
Home
Unlabelled
MHANDO AITAKA SERIKARLI KUJENGA OFISI YA MADINI KILINDI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇