LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 4, 2026

PATALI ASHINIKIZA KUANZA HARAKA UJENZI WA BARABARA YA MBALIZI - SHIGAMBA

 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijiji, Patali Patali amezidi kuibana serikali bungeni Dodoma Septemba 4, 2026 kwamba ni lini itaanza utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Mbalizi - Shigamba kwa kiwango cha lami?

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages