Mbunge wa Jimbo la Malinyi mkoani Morogoro, Dkt. Meckridis Mdaku akimpongeza Deogratius Ndejembi baada ya kuidhinishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais Mteule kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma Agosti 28, 2026. Ndejembi aliapishwa rasmi kushika wadhifa huo Agosti 29, 2026 Ikulu Chamwino Dodoma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇