Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya akimkabidhi mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dalizon kutoka Arusha sh. milioni 1 zawadi ya wanafunzi na walimu wa shule hiyo waliotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma Septemba 3, 2026.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇