Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Wafugaji wa Jamii ya Wamasai kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Septemba 2, 2026.
Wafugaji hao wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Ally Manonga (wa pili kulia) pamoja na Chifu wa wafugaji kutoka Morogoro,Sinango Mataya.
Manonga amesema kuwa katika mazungumzo hayo walimdokeza Wanu nia yao ya kuanzisha tawi la chama hicho Zanzibar.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇