LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2022

WADAU WAVUTIWA NA BANDA LA BRELA WIKI YA UBUNIFU KITAIFA DODOMA





Wananchi wakiwa Banda la Wakala wa  Usajili wa Biashara na Leseni  (BRELA) kupata maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo, wakati wa Maonesho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Afisa Sheria wa BRELA, Cavin Rwambogo (kulia) akiwasikiliza baadhi ya wadau waliofika kwenye banda hilo.
Afisa Leseni wa BRELA, Winfrida Gaudance (kushoto)  akiwa  na wadau  waliofika katika banda hilo kupata maelezo kuhusu kazi za taasisi hiyo.


PICHA ZOTE  RICHARD MWAIKENDA 
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages