Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, kuchukua fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, tarehe 9 Agosti 2025, katika Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Your Ad Spot
Aug 10, 2025
DKT. NCHIMBI APATA BARAKA ZA MAMA MZAZI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About Blogger
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇