LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 10, 2025

CHATANDA AUNGANA NA RAIS SAMIA KUAGA MWILI WA HAYATI NDUGAI

Mwenyekiti wa  Umoja wa Wanawake wa wa CCM Tanzania (UWT), akimfariji Dkt. Fatma Mganga mjane wa aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge marehemu Job Ndugai wakati wa kuuaga mwili wa kiongozi huyo.
Rais Samia amfariji Dkt. Fatma Mjane wa marehemu Ndugai. Rais aliongoza tukio hilo la kuaga  lililofanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Agosti 10, 2025.
Chatanda akitoa heshima za mwisho.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages