LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2022

MWANYIKA: TUHARAKISHE KUWEKEZA ZAIDI KWENYE LOGISTICS, UMWAGILIAJI ZAO LA PARACHICHI+video

 



 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amemshukuru Rais Samia Suluhu Haassan kuanza kutoa fedha za ruzuku kwenye mbolea hivyo kuwapunguzia mzigo wakulima nchini


Ametoa shurani hizo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 17, 2022, ambapo pia aliishauri serikali kuweka mifumo mizuri ya uhifadhi na usafirishaji wa Parachichi na mbogamboga lakini pia kuweka miundombinu ya umwagiliaji katika zao la Parachichi ili kupata matunda yenye ubora unaotakiwa.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages