LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2022

PROF. NDAKIDEMI AISHAURI SERIKALI KUONGEZA ZAIDI BAJETI WIZARA YA KILIMO+video

 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameishauri serikali kuongeza zaidi fedha katika Bajeti ya Kilimo ambacho ni kiinua mgongo wa nchi yetu.

Aidha ameishauri serikali kuwekeza zaidi kujenga viwanda vya kuzalisha mbolea kwa wingi lakini pia kuweka bei elekezi ya mbolea.

Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 17, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akitoa ushauri wake...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages