Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB
nchini Tanzania Dkt. Patricia Laverley wakifungua rasmi barabara ya Tabora-Koga-Mpanda
342.9 km Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022. Wengine
katika picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa
Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara
nchini TANROADS Mhandisi Rogatus Mativila pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora Mzee HassanMwakasubi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt.
Patricia Laverley wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya
Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km uliofanyika Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei,
2022. Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame
Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani, Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Rogatus Mativila pamoja na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora Mzee Hassan Mwakasubi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi waliojipanga kando kando ya barabara
ya Tabora Mpanda katika eneo la Sikonge mara baada ya kuifungua barabara hiyo,
wa kwanza kulia ni Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini
Tanzania Dkt. Patricia LaverleyRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika
Sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km zilizofanyika
Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa,
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Mzee Hassan Mwakasubi pamoja na Viongozi Wengine
mara baada ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km
uliofanyika Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.
Your Ad Spot
May 18, 2022
RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA YA TABORA-KOGA- MPANDA MKOANI TABORA LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇