LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 12, 2025

RAIS SAMIA AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA ZA KAMPENI CCM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha, iliyolenga kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 100  kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025,hafla hiyo inaendelea   katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam.









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages