Jun 20, 2025

RAIS DK. SAMIA AZINDUA MRADI WA MAJI WA BUTIMBA JIJINI MWANZA, LEO

.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Butimba mkoani Mwanza tarehe 20 Juni, 2025. Mradi huu una uwezo wa kuzalisha lita milioni 48 za maji kwa siku na kuweza kuhudumia awananchi wapatao 450,000 katika maeneo ya Nyegezi, Mkolani, Buhongwa, Lwanhima, Fumagila, Sahwa, Igoma, Kishiri na Nyamhongolo jijini Mwanza






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages