Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi ikiwemo mkuki na ngao katika mnara wa Mashujaa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika Mtumba Jijini Dodoma leo Julai 25, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alip9kuwa akiwasili katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma kwa ajili ya Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa tarehe 25 Julai, 2025.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇