Jun 26, 2025

MWANYIKA ALONGA MAKUBWA AKILIAGA BUNGE


 Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa kuliaga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokaribishwa kufanyaa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson bungeni Dodoma Juni 26, 2025. Mwanyika pia alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo.

Mwanyika ametumia pia fursa hiyo kuwashukuru wapiga kura wake wa Jimbo Njombe Mjini kwa kumuamini kutumikia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano na kuwaomba tena wamuamini awatumikie katika kipindi kingine kijacho.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
 BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages