LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2025

PROF. MCHOME AWATAKA WABUNIFU VETA WAZALISHE BIDHAA KWA WINGI

Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ProfSifuni Mchome akitembelea mabanda ya wabunifu ya VETA katika maonesho ya Kimataifa ya Nanenane katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma lAgosti 7, 2025. Aliweza kujionea ubunifu mbalimbali wa washiriki hao ambao waliupata baada ya kupata mafunzo kutoka VETA katika vyuo vilivyoenea nchini. 


Profesa Mchome amewataka washiriki kuzalisha kwa wingi bidhaa zao ili zienee katika masoko, nchi ijiepushe na kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Bidhaa hizo zikidhi viwango vya kimataifa ili kupanua soko hadi nje ya nchi.

  







 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages