LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2025

NAIBU WAZIRI CHUMI AVUTIWA NA KIWANDA KIPYA CHA MAFUTA CHA MAINLAND

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Cosato Chumi, akizungumza na wanahabari baada ya kutembelea banda la kiwanda cha Kimataifa cha kutengeneza mafuta ya kula nchini cha Mainland Group Process Tanzania Co Ltd. Chumi ameusifu uongozi wa kiwanda hicho ambacho kinatalajiwa kufunguliwa hivi karibu kwa kuweza kuajiri wafanyakazi wengi na kitatumia malighafi nyingi za hapa nchini.
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wa Kiwanda hicho Betty Mkwasa, akifafanua jambo kwa wanahabari kuhusu ujio wa kiwanda hicho nchini, ambacho anadai kitakuwa kikubwa cha pili kwa nchi za Kusini mwa Afrika. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages