Jun 26, 2025

MANSOOR WA MOIL AHUDHURIA MKUTANO WA RAIS SAMIA KUHITIMISHA BUNGE LA 12

Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta ya MOIL, Altaf Mansoor (kulia) akizungumza na Mkuu wa Itifaki Mahakama ya Afrika Tamambele Simba kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhutubia nakuhitimisha shughuli za Bunge la 12 bungeni Dodoma Juni 27, 2025.Mansoor alikuwa ni miongoni wa waalikwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025. Kulia ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Mansoor akijadiliana jambo na mmoja wa wageni waalikwa.
Wakiwa wamesimama wakati Rais Samia akiingia kulihutubia Bunge huku akiongozwa na Spika Tulia Ackson.

Mansoor akiwa makini kufutilia hotuba ya Rais Samia.


 Rais Samia akitoka bungeni baada ya kulihitimisha.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages