Jun 26, 2025

MATUKIO YA WAZIRI LUKUVI BUNGENI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Serikali bungeni, Mbunge wa Ismani, William Lukuvi akizungumza na baadhi ya mawaziri baada ya alipokuwa akiwatambusha kwa wageni kutoka Iringa waliofika kutembelea Bunge hivi karibuni.

Lukuvi akijadiliana jambo na Naibu wake, Ummy Nderiananga.


Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Newala Mjini, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, George Mkuchika.



Lukuvi akijadiliana jambo na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde na Mzee George Mkuchika.
Lukuvi akiwasilisha bungeni taarifa ya Hali ya  Dawa za Kulevya nchini.
Lukuvi akijadiliana jambo na baadhi ya mawaziri bungeni Dodoma.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages