LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2025

KADA MUHANDO AJITOSA UBUNGE KILINDI

  Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika na Mkuu wa Utawala Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam, Ndugu Salehe Mbwana Muhando, leo Jumatatu Juni 30,2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kilindi, mkoani Tanga, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu ujao.





No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages