LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2025

MTATURU ATAKA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM UBUNGE IKUNGI MASHARIKI

 Mbunge wa Singida Mashariki,Miraji Mtaturu amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa  kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia jimbo la Ikungi Mashariki.

Jina la Jimbo hilo limetokana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kubadilisha jina la awali la Singida Mashariki kuwa Ikungi Mashariki na Singida Magharibi kuwa Ikungi Magharibi.


Mtaturu amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 29,2025,na Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi,Joshua Mbwana.




No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages