LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2025

FATUMA YUSUFU AJITOSA KUWANIA UBUNGE DODOMA MJINI

Fatuma Yusufu akikabidhiwa fomu na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba za kuomba ridha ya kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Dodoma Mjini Juni 30, 2025.

Fatuma akisaini tayari kukabidhiwa fomu.

Akipatiwa maelezo jinsi ya kujaza kwenye fomu.


 Fatuma akionesha fomu baada ya kukabidhiwa.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages