LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 30, 2025

'MASTER KI', KOMU WACHUKUA FOMU KUWANIA JIMBO LA DODOMA MJINI

Afisa Mitihani wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Valentino Kibaja maarufu kama Master Ki na Mtaalamu wa Madini Onesmo Komu wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea katika Jimbo la Dodoma Mjini.


Fomu hizo wamekabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapoinduzi (CCM), Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba Juni 30, 2025.
Valentino Kibaja 'Master Ki'.

Onesmo Komu.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages