Jun 30, 2025

LUHAMO ACHUKUA FOMU KUGOMBEA MTUMBA, ASEMA UBUNGE NI KAZI YA KITUME

Mussa Luhamo akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Jimbo la Mtumba Dodoma Juni 30, 2025.

Luhamo akitia saini tayari kukabidhiwa fomu.

Akipata maelezo kuhusu ujazaji wa fomu hizo zinazotakiwa kurejeshwa kabla ya saa 10 jioni Julai 2, 2025.


Hadi jioni ya leo waliochukua fomu katika majimbo mawili ya Dodoma Mjini na Mtumba wamefikia 32. 27 Dodoma Mjini na watano Mtumba.
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages