Jun 29, 2025

NMB YATANGAZA UWEPO RASMI KATIKA MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA- SABASABA

 Benki ya NMB imeanza rasmi kutoa huduma zake katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kupitia banda lake maalum, NMB inawakaribisha wananchi, wajasiriamali, pamoja na familia kwa ujumla kupata huduma kamili za kibenki pamoja na elimu ya fedha kwa ajili ya maendeleo yao ya kifedha.





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages