LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 29, 2025

CHATANDA ALIVYOSHIRIKI WAKATI RAIS AKIHUTUBIA NA KULIHITIMISHA BUNGE LA 12

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT), Mary Chatanda (katikati) akisikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tganzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 bungeni jijini Dodoma Juni 27, 2025.     Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule.



Chatanda akitambulishwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.





 Wakiwa wamesismama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages