Jun 29, 2025

MWANYIKA ALIVYOUONGOZA MSAFARA WA JAJI MKUU MASAJU KUINGIA BUNGENI, RAIS SAMIA AKIHITIMISHA BUNGE

 Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Njombe Mjini akimuongoza Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju kuingia bungeni wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipohutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 jijini Dodoma. Mwanyika pia alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Bishara, Kilimo na Mifugo.












Jaji Mkuu, Masaju akitambulishwa bungeni.

Mwanyika akiteta jambo na Mwenyekiti mwenzie wa Bunge, Najma Murtaza Giga


 
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages