Rais Samia Suluhu Hassan, leo ameenda nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim (katikati), Masaki jijini Dar es Salam na kumkabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu, aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya nchini Misri. Pichani Rais Samia akikamkabidhi Tuzo hiyo mtoto wa Dk. Salim, Ahmed Salim Ahmed.
Dec 7, 2021
RAIS SAMIA AENDA NYUMBANI KWA DK. SALIM NA KUMKABIDHI TUZO, LEO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇