Baadhi ya wabunge wastaafu, wakimpongeza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kulinda amani na utulivu wa nchi pamoja na kudumisha Muungano lakini pia na kuleta maendeleo.
Wabunge hao wametoa pongezi hizo na kuahidi kuwapigia kura katika uchaguzi Mkuu ujao, waliposhiriki katika kampeni za CCM eneo la Nungwi, Kaskazini Unguja, Zanzibar Septemba 18, 2025.
Your Ad Spot
Sep 19, 2025
WABUNGE WASTAAFU WAPONGEZA, WAAHIDI MAKUBWA KWA DKT. SAMIA, DKT. MWINYI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇