Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bushungwa akimkabidhi Aggrey Morris mfano wa hundi ya Sh. Milioni 5 kama sehemu ya zawadi za beki huyo aliyestaafu kuchezea timu ya taifa leo baafa ya kuitumikia tangu 2019. Zoezi hilo lilifanyika leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) uliomalizika kwa sare ya 1-1
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇