Mar 15, 2025

CP SABAS AWASILI SHULE YA POLISI TANZANIA MOSHI KUFUNGA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WANADHIMU NA WAHASIBU


Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, CP Liberati  Sabas na ujumbe wake wakienda kwenye ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi mkoani Kilimanjaro kwa kufunga Kikao kazi cha Maafisa Wanadhimu na Wahasibu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Mikoa, Vikosi na Vyuo leo Machi 15, 2025

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages