.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), Mhandisi Justine Rujomba akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO jijini Dodoma Machi 14, 2025, kuhusu mafanikio ya Mamlaka hiyo kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema kuwa licha AUWSA ambayo kazi yake kubwa ni kutoa huduma ya maji Arusha, hivi wamevuka mipaka kwa kutoa huduma mikoa mingine ukiwemo mkoa wa Manyara na hata kuvuka mipaka ya nchi kwani mtandao wao wa maji uliopo Namanga unahudumia pia majirani zetu Kenya.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇