Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa akielezea ukweli kuhusu hali ya Uwanja wa Benjamini Mkapa kwamba uko vizuri na tayari kuruhusu mechi kuchezwa hapo kutokana na matengenezo makubwa yaliyofanywa ilikiwemo eneo la kuchezea.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇