LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2020

UZINDUZI WA KAMPENI ZA URAIS ZANZIBAR WAFANYIKA KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimia wananchi alipowasili kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni za CCM, uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba.

Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba ukiwa umefurika wananchi wakati wa mkutano huo

Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba ukiwa umefurika wananchi wakati wa mkutano huo

Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Pemba ukiwa umefurika wananchi wakati wa mkutano huo

makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohaedn Shein akibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi wakati wa mkutano huo
Baadhi ya wana CCM na wananchi walaaiohudhuria mkutano hu

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakiwa kwenye mkutano huo

Makamau Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia mkutano huo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimpongeza baada ya kumkabidhi Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Hussein Mwinyi wakati wa mkutano huo 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk Hussein Mwinyi akiomba kura alipohutubia kwenye mkutano huo

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatambilisha Wagombea Uwakilishi wa Majimbo ya Pemba wakati wa mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni  za CCM Pemba zilizofanyika katika Uwanjawa Gombani ya Kale Chakechake Pemba

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mgombea Ubunge Nafasi za Wanawake Bi.Asia Sharifi , wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni ya CCM Pemba


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages