LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2020

DK. MAGUFULI AMWAGA SERA NA MAFANIKIO AKIOMBA KURA KWA WANANCHI KIBONDO AKIWA NJIANI KWENDA KIGOMA


Mgombea Urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama hicho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa wilaya ya  Kibondo mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini leo Alhamis  Septemba 17, 2020.

Mgombea Urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Chama hicho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2020/2025 wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini leo Alhamis  Septemba 17, 2020.

 Mgombea Urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Chama hicho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimsikiliza Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibondo kwa tikati ya (CCM) wakati alipozungumza  na wananchi wa wilaya ya  Kibondo mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini leo Alhamis  Septemba 17, 2020.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM)Ndugu Edmund Mndolwa akiwa katika mkutano huo wakati Rais Dk. John Pombe Magufuli alipozungumza na wananchi wa Kibondo akielekea Kigoma mjini.

Picha zikionesha sehemu ya wananchi waliojitokeza kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipozungumzanao mjini Kibondo.

    

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages