Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi Rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la Mwaka 2023 ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center Dodoma leo Machi 17,2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇