Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)ana
Mwenyekiti wa Chama hicho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyakahura wilayani Biharamulo mkoani Kagera wakati akiwa njiani kuelekea Kibondo -Kasulu – Kigoma leo Alhamis Septemba 17, 2020.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Biharamulo Injinia Jonas Chiweleza akimuomba kura Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuzungumza Nyakahura.
Wananchi wakimsikiliza Rais Dk John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika mji wa Nyakahura wilaya ya Biharamulo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇