Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO jijini Dodoma Machi 17, 2025, ambapo ameelezea mafanikio lukuki ya mfuko huo, kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Maafisa wa NSSF wakijadiliana jambo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇