LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2020

MIILI 10 YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA MOTO WAAGWA KAGERA

 

Miili ya waliokuwa wanafunzi 10 wa Shule ya Msingi ya Byamungu Islamic Seminary ya Kyerwa mkoani Kagera waliofariki Septemba 14 mwaka huu kwa ajali ya moto ulioteketeza bweni walilokuwa wamelala tayari inaagwa na kukabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya taratibu za mazishi.

       

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages