Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kabla ya kuanza kuongoza Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma, leo Machi 10, 2025. CCM imeshamteua Dk. Samia kuwa mgombea wake wa Urais (2025) na Dk. Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Mkoani Dodoma, leo Machi 10, 2025.Kikao hicho kikiendelea.Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wasira (kushoto) akishiriki kikao hicho, ambacho kwake ni cga kwanza akiwa kwenye nafasi hiyo.
Your Ad Spot
Mar 10, 2025
Home
featured
siasa
MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO MJINI DODOMA

Tags
featured#
siasa#
Share This

About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇