Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akipungia mkono alipowasili kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.
Sehemu ya umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni mjini Kigoma.
Picha ya kuchorwa ya Dk. Magufuli
Sep 18, 2020
KAMPENI ZA MAGUFULI ZATINGA KWA KISHINDO LAKE TANGANYIKA KIGOMA
Tags
featured#
siasa#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇