LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK. MAGUFULI ALIPOSHUHUDIA SHAMRA-SHAMRA ZA KIPEKEE KUTOKA KWA WANANCHI WA KASULU, KIGOMA 'MWISHO WA RELI'

 

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akionekana kujisikia raha wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa mkoani Kigoma waliomlaki kwa shamrashamra za kipekee wilayani Kasulu akiwa njiani kwenda Kigoma mjini, jana kuhutubia mkutano wa kampeni
Ilikuwa ni shangwe tu mwanzo mwisho
Dk.Magufuli: Hapo vipiiiii?
Wananchi: Hapo sawaaa

Dk Magufuli: Vijana mmenionaaa
Vijana: Ndiyo tumekuonaaa
"Profesa Ndalichako Safiiiiii" Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako mjini Kasulu wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17,2020
Wananchi: Safiiiiiiii
Ujumbe mzito:Picha ya kuchora yenye ujumbe kwa mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa imeinuliwa juu eneo la Buhingwe wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17, 2020

:Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimasikiliza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe Mhe.
Albert Obama akimnadi Dkt. Philip Mpango anayegombea jimbo hilo aliposimama kuongea na wananchi wa  Buhingwe wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi
Septemba 17, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages