LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 7, 2019

MAHAFALI YA 13 YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI (MUHAS) YAFANA

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu MUHAS, akimtunuku Deus Charles Buma Digrii ya Udaktari wa Falsafa Doctor Of Philosophy (PhD) katika Mahafali ya Kumi na Tatu ya chuo hicho yaliyofanyika leo Desemba 7, 2019 Muhimbili jijini Dar es salaam Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Profesa Andrea Pembe na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Bi. Mariam Mwaffisi. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA )
Mlau wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Profesa Febronia Kahabuka akiongozana na Maprofesa na Wahadhiri wa Chuo hicho katika maandamano kuelekea katika Mahafali ya Kumi na Tatu ya Chuo Kikuu kishiriki cha Afya na Sayansi MUHAS leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akiongozana na Maprofesa na Wahadhiri wa Chuo hicho katika maandamano kuelekea katika Mahafali ya Kumi na Tatu ya Chuo Kikuu kishiriki cha Afya na Sayansi MUHAS leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wahitimu wa chuo hicho wakila kiapo.
Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu MUHAS, akiwa meza kuu pamoja na viongozi na wahadhiri mbalimbali wakati wa mahafali hayo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Ali Hapi akiwa na mmoja wa Waunguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mariam Mlawa, ambaye kwa pamoja wakimsindikiza Mke Ali Hapi aliyekuwa akihitimu  katika mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya na Sayansi MUHAS Muhimbili jijini Dar es salaam leo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages