May 2, 2025

MWANYIKA AKERWA NA UCHEREWESHWAJI UJENZI WA BARABARA YA ITONI - LUSITU


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kubadilisha ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu badala ya kujenga kwa zege yenye gharama kubwa, ijengwe kwa kiwango cha lami ili ikamilike haraka.

Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali bungeni Dodoma Mei 2, 2025.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages