May 3, 2025

MADINI GHAFI YASISAFIRISHWE NJE YA NCHI - MBUNGE AMAR


 Mbunge wa Nyang'wale, Hussein Amar ameitaka serikali kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuwapatia mikopo ili kuwaendeleza na kuongeza pato la Taifa.


Aidha ameshauri kupigwa marufuku kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na kutaka yawe yanaongezwa thamani hapa hapa nchini.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages