Mbunge wa Viti Maalumu kupitia kundi la Wafanyakazi, Dkt. Alice Kaijage ametoa hoja ya dharura leo Bungeni Dodoma, akiliomba Bunge kutoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo chake cha kupandisha mshahara wa kima chini kutoka sh. 370,000 hadi 500, 000 kwa mwezi.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇