Apr 23, 2025

BALOZI NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA MUSOMA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages