Apr 23, 2025

DKT. KAIJAGE AONANA USO KWA USO NA WATUMISHI KATIKA HALMASHAURI 89 NCHINI

 Mbunge wa Viti Maalumu kupitia kundi la Wafanyakazi, Dkt. Alice Kaijage ametoa mchango wake mwanana wakati wa mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ya mwaka 2025/ 2026 bungeni Dodoma Aprili 23, 2025.


Pamoja na mambo mengine,, Dkt. Kaijage ameupongeza uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kujali maslahi ya wafanyakazi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa demokrasia pana ya kuyajali makundi ya wafanyakazi kiasi cha kutenga viti maalumu bungeni.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages