Apr 23, 2025

BALOZI NCHIMBI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akipokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na kukagua ujenzi wa hospitali hiyo inayojengwa mjini Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages